Darling Hair

Anaitwa Chic Ama au una weza kumpata instagram kama @chicamastyle Ni fashion blogger na personal shopper/stylist, Tume penda jinsi anavyo style vitenge vyake very fashionable na neat. Unaweza kuiga mshono au mtoko kutoka kwake

Fringe Dress yenye ruffle hands na lace mikononi14723556_1239142852825916_7438347194429603840_n

Red Jumpsuit is a must have tumependa jinsi alivyo ongezea kiremba cha kitenge na statement gold choker Chichi-Rockville50-683x1024@2x

polka dots kitenge outfit

14723568_195582727559699_2165430744371953664_n

kitenge bomber jacket na all black outfit seems like she is obsessed na hizo greenish pump heels

14561879_1824709597766744_4308559359958319104_n

Hii gauni ni kila kitu love the total package

14582429_997125637064101_5851736509501145088_n

 

 

6 TIMES CHIC AMA AMETUPA AFRICAN PRINT GOALS

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com