Eti tunaweza kumuita Lulu Rihanna wa bongo? maana ana pendeza akivaa vyovyote leo yupo ki Nigeria kila kitu on point kuanzia make up, rangi ya kucha kiremba na nguo. Iga mshono

eliza lulu

Make-up,remba,urembo on point

lulu michael