Elizabeth Michael ameonekana kutupia picha zake mpya, hii ilikua birthday dinner date yake and this time amechagua a simple kitenge bow tie dress ambayo ime mpendeza sana well Lulu ana nice body ya kitoto this real compliment her body

Tume penda jinsi kitenge kilivyo changanywa bila kuonekana too much, kuna lace,bowtie ya satin, na gauni ni backless

shoe game on point as well as her hair & makeup