Sasa hivi trends zilizopo ni kuwa extra, extra hands katika nguo, ongezea a little charm katika mshono wako basi utakuepo katika trending society na kwa leo tume kuletea mishono ile tuliyo iona ina extra something

flare hands

 

 

off shoulder hii imekaa kama top fulani hivi ilitamba sanaa kuna kipindi

one shoulder

 

bubble hands

fur fur fur

Comments

comments