Tumesha zoea kuona fringe nguo za leather au hizi za kawaida lakini tunajua when it comes to fashion chochote kina weza kubadilishwa kikaenda na wakati, kwa ilivyo sasa kitenge kina trend sana na hivi ndivyo wabunifu mbalimbali walivyo buni hii fringe kitenge

8-2-1 4531448_orig download-4-768x882 IMG_20160404_140121