Ni jambo zuri kuona Africa tumajaribu kuweka vya kwetu kwenye rada ya mitindo, kitenge na Dakishi vimekua vikitumiwa na wabunifu wengi Africa kusababisha ma bara mengine wavutiwe nacho, lakini kizuri zaidi ni vile ambavyo tunajaribu kuchanganya vya nyumbani na vya nje. hii mishono Imetuvutia zaidi.

africanprints.3jpg

Mipasuo miwili ipo kwenye trend kwa hivi sasa

africanprints.4jpg africanprints5

Crop Top na Sketi za vitenge

africanprints.1jpg

Dakishi Coat Gown