Darling Hair

Kajala Masanja na Flaviana Matata wameonekana kuvaa skirt ambazo zinaendana na kufanya iwe interesting ni kwamba wote wamevaa ki aina moja yaani wame vaa hii skirt na simple raba na vest hii ime tufanya tuwaulize nani kapendeza zaidi?

12783831_1767758746790747_1384211780_n

Kajala Masanja skiry yake ime toka jacquescollection

 

13116810_239897843041019_349920925_n

wakati Flaviana yeye imetoka kwa Bijouxtrend

KAJALA MASANJA NA FLAVIANA MATATA KATIKA KITENGE SKIRT

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com