Kiki ni mbunifu kutoka Tanzania wakati Tausi ni mwanamitindo, Hii gauni imebuniwa na Kiki Kizimba imeonekana kuwavutia wote wawili mbunifu na mwanamitindo. Wakati Tausi amevaa hii gauni na mkanda na mawani huku kiki akiwa ameiachia na amevaa na sandals.

KIKI

Kiki kizimbaTAUSI

Tausi Likokola