Imekuwa kipindi kirefu kidogo kuona wabunifu wametoa collections zao za nguo (au labda hatukutilia maanani), Kiki Kizimba ametoa collection yake mpya na its just too perfect not to share.

Kiki ame mshirikisha model Macrida Joseph ku-model katika collection yake hii lakini pia ku style mavazi.. major moves Kiki majorĀ  moves kiukweli mbunifu ana weza kubun lakini hasiwe mzuri katika ku-style unapo mshirikisha stylist unapata ideas mpya tumependa sana hii,

Katika hii collection kuna vitambaa vya silk ambavyo vina patches za maua (embellished clothare so on trend kwa sasa) pia kuna african print yaani vitenge

Model @julitha.kabete & @macridajoseph

lakini pia kuna vitenge tu kama vitenge na tuna weza kusema Macrida did a good job katika kuvistyle…. we see you Macrida & Kiki pushing through

Look Book – Kiki’s Fashion new collection

Designer @kikizimba

Model & Stylist @macridajoseph

Makeup by @julietkundi

Photographer @clemence_photography