Kitenge kimeonekana ku take huge place week, as tume waona fasionista mbali mbali kutoka Nchi mbali mbali wakiwa wame rock kitenge na unajua ukitaka the best thing’s basi ni kuwaangalia hawa fashionistas, unaweza kuwa inspired by them

kama kunakitu tuna kijua kuhusu aderonke enoabasi au slayonce wa Nigeria ni yeye kuwa extra, tume penda huu mshono kutoka kwa kwake.

you know chicca don’t play linapo kuja swala la fashioon

Elizabeth Michael kutoka Tanzania in little fringe open back kitnge dress, she is a devil linapo kuja swala la mitindo

Rita Paulsen in some blue & pink kitenge vibes she never age though

Jokate alipendeza sana na hiki kitenge pia

Kama ume penda mshono na utaiga usisite kutupia picha na kututag

Instagram- afroswagga

facebook – afroswaggamag

twitter – afroswaggatz

 

MISHONO YA KITENGE KUTOKA KWA FASHIONISTA’S

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com