Kuna kila aina ya mitindo ya vitenge kwa sasa, huwezi kusema sivai kitenge kwa sababu ni vya kizee kwa sababu kuna mishono mingi ya kushona ya kisichana na hii ni baadhi tu

abena

Ankara midi tube dress

ceedy

backless peplum dressmgr

Kaftan Two piece sbe

High West Skirt kwa kazini au mitoko ya hapa na pale