Christie Brown ni bidhaa maarufu  kutoka Ghana ambayo mbunifu wake  ameonekana kutumia Material za ki Africa katika kazi zake nzuri, Christie wana changanya Material za ki Africa (kitenge kwa wao wanaita accra ama kente) na material nyingine kupata kitu kimoja ambacho ni kizuri na cha kuvutia ambacho msichana au mwanamke wa kiafrika wa kisasa  anaweza kukivaa bila kupoteza utamaduni wake, hizi ni baadhi ya kazi zaoyou-should-know-christie-brown-ghana-fbd2-530x342

you-should-know-christie-brown-ghana-fbd11-530x342

you-should-know-christie-brown-ghana-fbd4-530x342

you-should-know-christie-brown-ghana-fbd5-530x342

Christie-Brown-New-Collection-New-Age-Zen-Magazine-Africa-2Instagram @christiebrowngh.