Ally Rehmutulla ni mbunifu wa mavazi kutoka Tanzania lakini jana ametuonyesha uwezo wake katika ubunifu baada ya kugeuka na kubuni Pochi/mikoba ya kitenge, Ally katika ukurasa wake wa Instagram¬† ame tuonyesha mteja wake wa kwanza kununua mkoba huo na kuandika “Our First Customer For The #AllyRemtullah #kitengebag, Tumependa kila kitu kuhusu hii mikoba.

12783465_1059220950791113_1902397272_n FB_IMG_1457065531057