Kitenge kinakuwa siku mpaka siku, wabunifu mbalimbali kutoka nchi za nje wamekuwa wakiumiza vichwa ya jinsi ya kubuni style za print hii, lakini pia tume waona ma fashionistas, watu maarufu mbali mbali wakiwa wamevalia kitenge na wao wakijaribu kuumiza kichwa kuwa watofauti, Na kwa week hii hii hapa ndiyo mishono tuliyo iona ime stand  tukaona tu share na wasomaji wetu mpate kujua jinsi ambavyo una weza kugeuza kitenge Kuwa stylish piece katika kabati lako

Comments

comments