Sgtc Clothing ni brand iliyopo Nigeria na inamilikiwa na mwanadada  Adetoke Oluwo, ni brand ambayo inafanafanya vizuri hasa katika kuwa tofauti na brand nyingine katika mitindo,leo tuna crush na hii Color Block Ankara Skirt kutoka kwao, na watu maarufu wengi pia wameonekana kuvutiwa nayo

Tumependa jinsi walivyo kuwa creative katika kuchanganya rangi, lakini pia zipo available katika kila size, ya wembamba,wanene kiasi na wengineo.

Pia zipo preference tofauti tofauti ina tegemea na chaguo lako wengi tumeona wamependa ya pink na njano.

Tuambie wewe kwako umependa nini katika hii skirt?