Kutoka Instagram watu maarufu kama Dax,Kajala,Linnah Na Hamisa wameonekana wakivalia African Prints unaweza kuiga mshono

14 12

Linnah ameonekana akiwa amevalia shati la batiki lenye ramani ya Africa kwa mbele.13

wakati Hamisa Mobetto yeye amevaa siketi fupi ya Dakishi.11

Dax Cruz hakua nyuma akiwa amevalia suruali ya Kitenge, T-shirt na Kofia ya Kitenge9

Kajala Masanja yeye amevalia gauni fupi la Kitenge wamepedeza kuwa KiAfrica zaidi.

WATU MAARUFU NA AFRICAN PRINTS

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com