Katika tembea tembea zetu katika mitandao ya kijamii tumekutana na Jacqueline Wolper  akiwa amevalia gauni la kitenge tukaona si vibaya ku share na wasomaji wetu ili wapate kuiga mshono ila kama utaiga basi hakikisha hapo kifuani upo kama Wolper au vaa bare lift.

jaq unnamed

WOLPER NDANI YA AFRICAN PRINT (KITENGE)

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com