SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Urembo

Faida Za Brokoli Kwa Afya Na Urembo 

Broccoli ni aina ya mbogamboga ambayo inataka kufanana sana na kabeji, lakini yenyewe majani yake huwa na muonekano wa kijani sana tofauti na ilivyo kwenye kabeji.Vile vile ni tofauti na Cauliflower, cauliflower ni nyeupe Wakati broccoli ni ya kijani.  Mara nyingi mbogamboga hii hutumiwa sana…

Mitindo

Rai Yetu Kwa Miss Tanzania 2019 

Ikiwa tunaelekea Miss Tanzania 2019, ambayo itafanyika tarehe 23/8/2019 tumeona tutoerai kwa miss Tanzania ya nini cha kujifunza kutoka kwa Amber Lulu Na Zari The Bosslady. Julai 14 kulikuwa na mashindano ya Miss Kinondoni 2019, ambapo mtumbuizaji alikuwa mwanamuziki Amber Lulu huku Hamisa Mobetto akiwa…

Hair, Urembo

Fahamu Njia Za Kukuza Nywele Zako 

Kwa wapenzi wote wanaopenda kuwa na nywele ndefu za kupendeza, Je wajua hakuna mafuta yanayokuza nywele? Kwamba ukipaka  nywele yako itakua haraka ? Kwa miaka mingi tumeamin sana kwamba ukipaka mafuta fulani ya nywele yanakuza nywele haraka na tumeakua tukitafuta mafuta yanayokuza na kujaza nywele….