SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Do It Yourself, Urembo

HERENI ZA CHUPIO 

Katika hiki kipengele cha fanya mwenyewe tuna waletea vitu ambavyo unaweza kufanya mwenyewe kirahisi na nafuu, ni vitu ambavyo unaweza kufanya ukavaa au kugeuza biashara. kwa sasa vitu ambavyo vinapendwa zaidi ni vitu ambavyo vya kipekee, watu wengi hawapendi kuvaa vitu ambavyo mwingine nae anacho,…

Afya, Dondoo

UMUHIMU WA MAHARAGWE 

Maharagwe imekuwa ni nafaka inayoliwa na watanzania tulio wengi hasa kutokana na kipato chetu. Lakini leo nataka nikwambia faida ipatiakanayo kwa matumizi ya nafaka hii katika afya mwanadamu. Hakika si wengi tuliokuwa tunaijua siri hii, ndio maana nimeona haja ya kushirikiana na nyinyi katika Makala…

Habari

ENTRE CECILE WAUNGANA NA ASPINAL 

Kampuni kubwa za mitindo Etre Cecile na Aspinal wameungana na kutengeneza mikoba yenye rangi tofauti tofauti na mitindo tofauti, “muunganiko huu haukutarajiwa ndo maana kazi ime fanyika vizuri kwa bidhaa zote mbili, inashangaza na kusisimua jinsi ambavyo wateja wetu wametupokea” amesema mkuregenzi wa ubunifu bibi…

Mitindo Ya KiAfrica

VYA NYUMBANI 

Imekuwa kawaida kwa nchi za Africa kuiga mitindo ya ulaya pasipo kujua  sisi pia tunaweza kutengeneza vya kwetu kupitia matirio yetu kama kitenge,khanga au dakishi kuifanya mitindo yetu  iwe ya kisasa zaidi.  kuna mitindo ambayo imeingia kutoka ulaya kama suruali za kuchana,  peplum blauzi ni…

Habari

MAMBO SI MAZURI FASHION POLICE-E! ONLINE 

fashion Police ni kipindi ambacho kina muhamko mkubwa wa mitindo na kinacho pendwa zaidi duniani, Watangazaji  wa hiki kipindi hawaachi kukukosoa ukikosea na kukusifia ukipatia. Bibi Joan River (marehemu) hakua akimuacha mtu akikosea hata kama una jina kubwa katika tasnia fulani.Pia kuna watangazaji wengine kama…

Urembo

KIPODOZI KIPI KINAFAA KUHIFADHIWA KATIKA JOKOFU 

Wengi wetu tume kua tukihifadhi vipodozi vyetu katika majokofu (friji) ili visiharibike bila kujua kuna faida na hasara za kufanya hivyo, si kila kipodozi kina faa kuwekwa katika jokofu vingine ukiviweka una haribu ubora wake. Vipodozi ambavyo vimetengenezwa kwa mafuta na siagi vina nafasi kubwa…