SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Uncategorized

KALIMATI 

Viungo: Unga wa ngano Sukari Iliki Chachu Mafuta ya maji Maziwa Kuandaa: Changanya unga ya ngano, iliki, chachu, maziwa na maji kidogo. Weka kando itulie. Teneneza mchanganyiko wa sukari na maji kisha wacha itulie. Weka mafuta ya maji kwa kikaangio cha kuoka. Tengeneza mchanganyiko wa…

Urembo

MAANDALIZI YA EID KWA HENNA NA BANGILI 

Kumi la mwisho limeingia, shamla shamla za Eid zimeanza. Wafanya Biashara Wameanza Kuleta Bidhaa Kutoka Sehemu Mbalimbali Ndani au Nje Ya Nchi, Vitu Vimepanda Bei Kwa Kua Kila Mtu Anataka Kusherehekea Eid Kinamna Yake. Kwa Upande Wa Kina Mama Na Kina Dada Huu Ndio Wakati Wa…

Mitindo

MTINDO WA TURBAN NI MKOMBOZI WA WANAO VAA HIJAB 

Mitindo ya kujifunga kilemba inayo itwa turban (turban head cover) ni mtindo wa kisasa mitindo ambao una funika kichwa na kuacha shingo wazi, kuna migogoro kwamba haifai kwa sababu haifuniki shingo ikivaliwa ipaswavyo basi inafaa na kukupa muonekano wa kupendeza   Mitindo inakua mambo yanabadilika…

Mitindo

MITINDO YA KIUME KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI 

Tumezoea kuona wanawake pekee wakivaa vizuri na kupendeza katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Wanaume wachache sana wanao jua kupangilia mavazi yao wakapendeza katika Ramadhani. Wengi wao wamezoea kuvalia  kanzu nyeupe au suruali kwa sababu zinavuka magoti mara nyingine hupendelea kuvaa kanzu kubwa kuzid miili yao,…

Uncategorized

KATILESI ZA MAYAI 

  MAHITAJI mayai – 5 viazi vikubwa – 6 pili-pili -3 ndimu – 3 pili-pili manga vitunguu swaumu kiasi mafuta ya kupikia unga wa ngano robo kilo JINSI YA KUPIKA Menya viazi vyako kisha vioshe uviweke kwenye sufuria, weka maji kiasi na chumvi kwa kiasi…

Uncategorized

MEATPIES ZA KIASILI 

MEATPIES ZA KIASILI Mahitaji:- Nusu kilo nyama ya kusaga/kima Vitunguumaji 3 vikubwa vikate vipande 4-4 Pilipilimbichi 2 zikate mara nne Vijiko 3 vikubwa tomato ya mkebe Konde 2 za thomo Chumvi vijiko 2 vidogo Nusu kijiko kidogo pilipilimanga Nusu kijiko kidogo mdalasini Na dania nusu…