SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Fashion Cop, Mitindo

When Copy Catting Gone Wrong 

Kwasasa wanaita being Inspired na sio ku-copy, well kuwa inspired inaruhusiwa lakini ukiwa inspired tunategemea ulete kitu ambacho kimezidi ubunifu wa awali kama sio kubadilika kabisa. Inapotokea pale mbunifu unakuwa inspired na kukosea au kwenda tofauti na kile ambacho umekuwa inspired nacho unatupa wengine maswali…

Urembo

Mambo Matano Usiyoyajua Kuhusu Mafuta Ya Nazi 

Mafuta ya nazi ni mazuri kama yatatumika ipasavyo.yana uwezo wa kukufanya uonekane mrembo mwenye ngozi ya kuvutia. MATUMIZI MENGINE YA MAFUTA YA NAZI Miongoni mwa faida tano za kutumia mafuta ya nazi asilia ni kama ifuatavyo.  Kulainisha ngozi Kuondoa magaga kwenye nyayo za miguu kuzuia…