SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

Our Two Cents To Miss Tanzania Committee 

Miss Tanzania imefanyika Ijumaa ambapo warembo 20 walichuana vikali na hatimaye tukampata mmoja ambae ataenda kutuwakilisha Miss World itakayo fanyika Tarehe 14 December  2019 Jijini London, Uingereza. Miss Tanzania 2019 Ni Sylvia Sebastian Bebwa ambae anatoka mkoani Mwanza, ana umri wa miaka 19 na ni…

men fashion column, Mitindo

Damond Platnumz, Michael B Jordan, Timothée​ Chalamet And Other Stars Wearing The It Accessory ( Harness) 

Mara ya kwanza kuona hii accessory ilikuwa katika run way ya  Louis Vuitton SS19 ambapo mbunifu Virgil Abroh aliwavalisha models wake gun holster harnesses.  Haikuchukua muda mrefu kwa wabunifu wengine kutuletea aina tofauti za accessories hizi lakini kichwani mwetu hatukudhani kama itakuja kuwa accessory of the season…

Mitindo

Tanasha Donna Maternity Photoshoot 

Tanasha Donna ni mwanamuziki, Radio Presenter na Video Vixen kutoka Kenya ambae kwa sasa ni mpenzi wa mwanamuziki maarufu Nchini, bwana Naseeb Abdul A.K.A Diamond Platnumz. Diamond Platnumz & Tanasha Donna First Red Carpet Appearance Tanasha na Diamod wanatarajiwa kupata mtoto wao wa kwanza pamoja…

Mitindo

Vipi Kuhusu Wanaume Kuvaa Kipini Puani? 

Kuna baadhi ya vitu ambavyo jamii imejiwekea ni vya kike na vingine vya kiume, kuna uzi mwembamba ambao unatakiwa usivukwe lakini kama ambavyo wazee wazamani walisema “Sheria zimewekwa ili zivunjwe”. Karne ya sasa hivi hakuna hio mipaka sasa hivi kila mtu yupo free kufanya anacho…