Darling Hair

DELISH & FAT BURN DRINKS

Katika harakati za kupunguza uzito huwa tuna kumbana na vitu au ushauri mbalimbali vingine ni vichungu vinakufanya uamue kuachana na safari yako lakini kumbe kuna vinywaji vitamu tu lakini pia vinaweza kukuaidi kupungua uzito, Green tea – Green tea ina

Read more

TIBA YA MAJI KWA AFYA YAKO

Leo tushirikiane hii water therapy, sote tunakunywa maji lakini tunatofautiana namna tunavyotumia kinywaji hiki. Mara nyingine unaweza kuwa na tatizo aidha kusumbuliwa na kichwa, uchovu, kupoteza mng’ao wa ngozi au hata tumbo kutokaa vizuri kutokana na gesi n.k na mtu

Read more

IFTAR- MUHOGO KWA VIAZI VITAMU

Mahitaji Mihogo viazi vitamu Kitunguu maji vitunguu saumu Tui la Nazi Chumvi Namna ya kutayarisha 1.Baada ya kumenya ,kuosha na kukatakata viazi na mihogo katika vipande vidogo vidogo.Weka viazi na mihogo ndani ya sufuria na uongeze maji yakutosha kuivisha,kisha funika na uchemshe

Read more

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com