IFTAR- MUHOGO KWA VIAZI VITAMU

Mahitaji Mihogo viazi vitamu Kitunguu maji vitunguu saumu Tui la Nazi Chumvi Namna ya kutayarisha 1.Baada ya kumenya ,kuosha na kukatakata viazi na mihogo katika vipande vidogo vidogo.Weka viazi na mihogo ndani ya sufuria na uongeze maji yakutosha kuivisha,kisha funika na uchemshe

Read more

MAKARONI NA NYAMA YA KUSAGA

Mahitaji: Pakiti la macaroni  1 Pilipili manga (utaisaga) Chumvi Blue band / Tanbond Nyama ya kusaga Kitunguu maji kikubwa 1 (kikate vipande vidogo vidogo) Vitunguu swaumu (utaviponda) Tangawizi (utaiponda) Viazi ulaya (vikate vipande vidogo vidogo) Biringanya (ikate vipande vidogo vidogo) Pilipili hoho (ikate vipande

Read more

JIKONI LEO SHURBA KWA VITUMBUA

Vipimo Nyamna Ya mbuzi ya mifupA -1 Kilo *Ngano nzima  – ¼ kikombe Shayiri zilizopaazwa  (quacker oats) za tayari  – ¼ kikombe Kitunguu saumua(thomu/galic) na tangawizi – 2 vijiko vya supu Kitunguu – 1 Mdalasini vijiti -2 Bizari ya jiyra (cumin powder/bizair ya

Read more

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com