SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Afya

FUTARI YA CHAPATI KWA MCHUZI WA KUKU 

Vipimo Vikombe Vinne (4) Vya Unga Wa Ngano Mweupe Vijiko vi tatu vya samli ~vijiko viwili vya chumvi vikombe viwili vya maji ya uvugu vugu samli (mafuta) ya kupikia chapati Namna Ya Kutayarisha Na Kupika                Mimina unga, samli na chumvi kwenye sinia au bakuli…

Afya

KUWA MWENYE AFYA NJEMA KWA KUFANYA HAYA 

Katika kujiweka fiti au tuseme kujiweka sawa kwa ajili ya kuonekana mrembo ni kazi ambayo inahitaji muda na uvumilivu vinginevyo unaweza kuwa sawa na chizi yoyote aliyejiwekea si tu maleba bali na mwili usiotamanika. Na kwa mwanamke ambaye ana mji wake, watoto , familia na…

Afya

FAIDA ZA MAJI YA LIMAO 

1.Huongeza Kinga yako ya mwili hasa kupambana na magonjwa madogo kama mafua, na kikohozi kutokana na kuwa na vitamin C 2. Husafisha Mfumo wako wa chakula, kuondoa sumu mwilini na kuzuia tumbo kujaa gesi mara kwa mara 3. Huleta hewa safi kinywani. Ni Muhimu sana…

Afya

JINSI YA KUTUNZA AFYA YAKO 

Afya ni hali ya kuwa vizuri au kujisikia vizuri kimwili au kiakili bila kusumbuliwa na maradhi yoyote, basi ukiwa na hali hiyo wewe ni mtu mwenye afya nzuri. Afya ya binadamu itaimalika zaidi kama atakuwa anafuatilia kanuni na taratibu za kujenga afya Kuna njia nyingi…

Afya, Dondoo

SABABU 5 KWANINI TUMBO LAKO HALIPUNGUI 

Unaweza ukawa una fanya mazoezi una jibana kula lakini tumbo lipo pale pale halipungui sana sana linaweza kilawa lina ongezeka, kuna sababu za kwanini halipungui kuna baadhi ya vitu una kosea katika safari yako ya kupunguza tumbo na vitu hivyo ni 1) Una fanya mazoezi…

Afya, Hair

MATUNDA NA VYAKULA KWA AFYA YA NYWELE ZAKO 

Mara nyingi kina mama na kina dada hupenda kuonekana warembo hususani katika masuala ya nywele, hapo ndipo utasikia wakijinadi kuwa, ‘mwanamke nywele bwana.’ Lakini ili kuwa na nywele nzuri na zenye afya huhitaji matunzo sambamba na namna mhusika anavyoishi ‘life style’ ikiwemo masuala ya mpangilio…

Afya, Skin Care

NJIA ZA KUONDOA MICHIRIZI (STRETCH MARKS) 

Stretch Marks (michirizi) hutokea sehemu mbali mbali za mwili, mikononi, miguuni, mapajani, tumboni nk, wengi hutokewa kutokana na kuongezeka kwa mwili (kunenepa) au Ujauzito hii hutokana na ngozi kutanuka. Wengi hawaipendi na wana tafuta namna ya kuziondoa unaweza kuondoa stretch marks naturally (kwa njia za…

Afya

VYAKULA VYA KULA KUPATA TUMBO DOGO 

Wanawake wengi wame kuwa wakishtumiwa kwa kuwa na matumbo makubwa, wengi wetu hatujui ina tokana na nini na wengine tunachukua maamuzi magumu ya kufanyiwa operation au kuvaa vitu vyenye madhara mwilini mwetu. Hivi ni vyakula ambavyo vinaweza kukupa tumbo dogo bila madhara vinaweza kuchukua muda…