SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Afya

VYAKULA VYA KULA KUPATA TUMBO DOGO 

Wanawake wengi wame kuwa wakishtumiwa kwa kuwa na matumbo makubwa, wengi wetu hatujui ina tokana na nini na wengine tunachukua maamuzi magumu ya kufanyiwa operation au kuvaa vitu vyenye madhara mwilini mwetu. Hivi ni vyakula ambavyo vinaweza kukupa tumbo dogo bila madhara vinaweza kuchukua muda…

Afya, Skin Care, Urembo

NINI ULE KUIPA NGOZI AFYA 

Wote tunapenda kuonekana warembo na vijana. Lakini inawezekana ukawa unajiharibu zaidi katika kujifanya uwe mrembo leo na kujiletea madhara makubwa yasiyotibika kesho. Pia, inawezekana unatumia hela nyingi na muda mwingi katika kuhakikisha ngozi yako inakuwa nyororo, nzuri, na ya kuvutia. Je, unafahamu kuwa kuna aina…

Afya

NJIA ZA KUSIMAMISHA MATITI YALIYO LALA 

Ikiwa ni jambo ambalo kila mwanamke ana litaka, hakuna mwanamke anaye penda kuwa na matiti yaliyo lala hasa kama huyo mwanamama bado kijana. Matiti hulala kutokana na mambo mbalimbali kama uvaaji wa blazia muda mrefu, kunyonyesha watoto, utoaji mimba nk, lakini kuna njia za kuyarudisha…

Afya

GANDA LA NDIZI NA MIUJIZA YA KUNG’ARISHA MENO 

Ndizi huliwa na maganda hutupwa tusicho kijua ni kwamba yale maganda ya ndizi yanaweza kung’arisha meno yetu kwa kufanya mambo machache sana. Nani asiependa kuwa na meno meupe? basi fanya yafuatayo: Kwanza menya ndizi yako kutoka juu kwenda chini kama wafanyavyo nyani, usianzie kwenye kitako…

Afya, Hair

MADHARA YA DAWA ZA NYWELE 

Wengi wetu tunapenda urembo, lakini kwa bahati nzuri au mbaya wa afrika tume barikiwa na nywele ngumu hii ime tupelekea kupenda kuweka dawa za nywele ili kuzilainisha na kuzipa muoneka mzuri, lakini dawa hizi zina uzuri na ubaya wake. Sayansi inaonyesha kuwa matumizi ya relaxer…

Afya, Dondoo

UMUHIMU WA MAHARAGWE 

Maharagwe imekuwa ni nafaka inayoliwa na watanzania tulio wengi hasa kutokana na kipato chetu. Lakini leo nataka nikwambia faida ipatiakanayo kwa matumizi ya nafaka hii katika afya mwanadamu. Hakika si wengi tuliokuwa tunaijua siri hii, ndio maana nimeona haja ya kushirikiana na nyinyi katika Makala…

Afya, Dondoo

Kwanini Unywe Maji? 

Kwa wale wavivu wa kunywa maji, nivema kuiacha hiyo tabia na kujifunza taratibu kunywa maji ya kutosha, usisubiri uhisi kiu ndipo unywe maji. Hakikisha unapata walau Bilauli nane za maji kila siku. Kuna sababu nyingi na wewe kunywa maji zifuatazo ni baadhi tu. Ngozi kuwa…