5 Tips On How To Be Classy And Stylish According To Lavidoz
Moja kati ya watu maarufu ambao wengi wanawapenda kutokana na mavazi yao basi ni mwanadada Lavidoz, Lavidoz ana mwili wa kawaida ( sio ile miili ya kutengeneza) na bado anavaa na kupendeza. Ambacho wengi tunavutiwa nacho kutoka kwake ni kwamba japo havai mavazi ya ghali…
Muongozo Wa Namna Ya Kumatch Viatu Pamoja Na Mavazi Yako
Njia rahisi kabisa ambayo watu wengi huitumia katika mionekano yao ni ku-match mavazi yao na kitu kimoja wapo walichokivaa mfano: kumatch mavazi na pochi au viatu, unaweza kuona itakuwa too much lakini ni njia nzuri ya kufanya muonekano wako uonekane coordinated Leo tunakupa muongozo wa…
Jua Toauti Ya Vipodozi Organic Na Natural
Kila asubuhi wanawake wengi yumkini na wewe unaesoma hapa unaweza kuwa mmoja wao huamka na kupaka vitu tofauti tofauti mwilini. Kile ambacho wengine hawaachi kufikiria ni nini wanaweka kwenye ngozi yao. Vipodozi vingi sana na bidhaa za utunzaji wa ngozi leo zimejaa viambata vyenye kemikali…
Graduation Outfit Do And Dont’s
Ni graduation season kila mwanafunzi ambae amemaliza chuo/shule ana jiandaa na kusheherekea katika mahafali yake, lakini as usual swali la nini mtahiniwa huyu avae katika graduation yake huwa linakuja, ki kwetu kwetu ukiangalia kwenye mitandao wengi huwa wanavaa bandage dresses ambazo si mbaya zimekaa official…
Jua Namna Ya Kuondoa Harufu Mbaya Ya Viatu
Hivi Ushawahi kuwa kwenye Mkusanyiko wa watu na Mara ghafla waanza kusikia Harufu mbaya na Hapo Hapo unabaini inatoka kwenye viatu. Utajisemesha Nani huyo kuvua viatu? Huku ukibana pua. Kama hujawahi kukutwa na jambo hili huwezi kuelewa vile mhanga anavyojisikia. Baada ya kumaliza kusoma hapa hutotaka…
Dondoo Za Kufanya Unyunyu “perfume” Wako Udumu Kwa Muda Mrefu
Kama wajikuta unyunyu wako Ukifika muda wa chakula cha mchana “lunch” imeisha au ukiweka unyunyu ghafla imeisha dondoo hizi zinaweza kukusaidia. Kama mtaalamu wa Urembo mmoja anavyosema, Joanne Dodds ” Tunapenda kunukia vizuri siku nzima, Wakati mwengine unyunyu wako unapotea pale tu unapomaliza kuweka ”…
Ondoa Harufu Mbaya Kinywani Kwa Kutumia Mdalisini, Limao Na Asali
Muonekano wako mzuri utakamilishwa na Jinsi utakavyotabasamu, na vile utakavyoweza Kuongea kwa kujiamini. Tabasamu zuri na mwanana linakamilika pale unapokuwa na ngozi yenye afya njema na kinywa chenye harufu nzuri na meno yenye kung’aa. Leo baada ya kusoma Makala hii, Utaweza kujisaidia kuondoa harufu mbaya…
Zijue Mbinu 9 Za Kuondoa Harufu Ya Kikwapa
VIJANA wanapofikia umri wa kubalehe, moja kati ya dalili wanazokumbana nazo ni kuota nywele sehemu za siri ikiwamo kwapani. Wengi wao wamekuwa wakishindwa kujiweka katika hali ya usafi hivyo kujikuta wakitoa harufu kali ya jasho. Jambo hilo huwakwaza watu wengi na hivyo kujikuta wakijitenga /wakitengwa…
Mavazi Ya Kuvaa Endapo Una Mikono Minene
Sote tuna ile part katika miili yetu ambayo tunaona haiko sawa ( insecurities ), inaweza kuwa mikono, miguu, tumbo, vidole, chochote ambacho unaona hakiko sawa na unatamani kukificha, kitu ambacho sisi tungeweza kukwambia ni kwamba your beautiful the way you are. Lakini kama unaona bado…
Pata Kujua Kuhusu Tanzanite Womens Forum & Lunch Na Nini Cha Kuvaa
Tarehe 9 mwezi wa tatu kuna event ambayo inaitwa Tanzanite Womens Forum And Lunch, tumepata nafasi ya kufanya interview na mbunifu Khadija Mwanamboka ambae yeye ni moja kati ya waanzilishi wa event hii ametuelezea zaidi kuhusu event hii Afroswagga: Unaweza kutupa hint ya event inahusu…
HOT TOPICS
Martin Kadinda Debuted She Gentle Collection At Swahili Fashion Week: Mbunifu Martin… https://t.co/BBAefWm0Al
FollowNjia Za Kujali Handbag Yako Idumu Muda Mrefu: Kama ambavyo unaweka cover na protector… https://t.co/rYXOb7PBbX
Follow#SwahiliFashionWeek2019 Lundi and Sons Collection #SwahiliFashionWeek2019 https://t.co/1sgnuYbDen
Follow
FOLLOW US!