SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Habari

Namna Mbalimbali Za Kuvaa Nguo Za Leather 

Moja kati ya material ambayo fashionista wengi hutumia katika mavazi yao ku-stand out (kuwa watofauti) ni material ya leather. Si watu wengi ambao sio fashionista’s wanamiliki mavazi ya material haya, lakini ni material ambayo ni nzuri inayokufanya uonekane wa tofauti na kama utachagua material nzuri…

Habari

Dondoo 5 Za Mitindo Kwa Watu Wanene 

Miili imekuwa kisingizio cha wengi kutokuvaa na kupendeza, lakini kumbe kila mmoja wetu anaweza kuvaa na akapendeza inatakiwa tu uujulie mwili wako wa aina gani na mavazi yapi yanakufaa, kama ungependa kujua zaidi kuhusu aina ya mwili wako na mavazi yapi yana kufaa tunashare link…

Habari, Mitindo, Urembo

Afroswagga Fashion Awards 

Afroswagga Fashion Awards kama zilivyotambulishwa ni jukwaa jipya ambalo limekuja kwa lengo moja mahsusi ikiwa ni kuthamini mchango wa wadau mbalimbali katika tasnia ya mitindo na urembo. Inafahamika kuwa kwa sasa Tanzania tunalojukwaa  moja kubwa ambalo ni Swahili Fashion Week. Jukwaa ambalo linafanya kitu hiki…

Habari

Barua Ya Wazi Kwa Waandaji Wa Miss Tanzania 

Ni mwaka mwingine tena tunaenda Sanya China katika Miss World na kurudi na experience badala ya ushindi, well kwanini hii inatokea miaka hii tu? miaka iliyopita kulikuwa na nini mpaka wakina Nancy Sumari walikuwa wanashinda? Nini cha tofauti na kwanini hakirekebishwi? Tumeridhika na experience au…