SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Make Up, Urembo

Jua Zaidi Kuhusu Eyebrow Microblading 

Tumekuwa tukipata maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu eyebrow microblading, wengine wakiwa wanauliza ni nini, wengine wanauliza hapa Tanzania ni nani ana fanya na wengine wakituambia nini maoni yetu kuhusu hii trend, Well tumejaribu kutafuta eyebrow microblading ni nini na inakuwaje Spice Up Your…

Make Up

Aina 3 Za Makeup Artist 

Ulimwengu wa urembo unazidi kukua karibu kila mwanamke kwa sasa anajua kujipaka makeup, na wengine wasiojua basi wanapakwa na wale wanaojua, kufanya mambo kuwa rahisi basi wale make up artist wanaojua huwa wanafundisha kupaka hizi makeup’s kwa darasa inaweza kuwa kwa mwezi au week inategemea…

Make Up, Urembo

Makeup Looks Tulizozipenda Week Hii 

Tunapenda jinsi makeup artist wetu wanavyo jitahidi katika swala zima la kuwafanya wasanii na watu maarufu wetu wapendeze, yes kama kuna kitu ambacho ukiharibu unaweza kuharibu muonekano wako mzima basi ni makeup. Makeup ikiwa mbaya inaweza kuharibu na muonekano mzima wa mtoko wako hata kama…