SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Make Up

RIBBON EYE LINER YAR OR NAY? 

Wakati hata hatuja master kupata a perfect winged eye liner ikaja bubbled winged eye liner wakati bado tuna yumba yumba na hio ghafla ime kuja ribbon winged eye liner. Our beautiful Ladies kutaneni na trendi eye liner kwa sasa una weza kuiita ribbon eye liner,…

Make Up

BEAUTY CRUSH – IRENE 

Ana kwenda kwa Jina La Irene Lynn japo wengi wetu tuna mjua kama officiallyn ni model, mara ya kwanza kumuona ilikuwa katika video ya Raymond kutoka WCB “kwetu”. leo yupo kama beauty crush wetu kutokana ku link na kila style ya nywele au make up,…

Make Up

BEAUTY CRUSH – DILLISH MATHEWS 

Dillish Mathews ni Muigizaji pia mwanamitindo kutoka Namibia, ambae alipata kujulikana mno mnamo mwaka 2013 ambapo alishiriki na kushinda shindano la Big Brother Africa – The Chase, Dillish alishinda kitita cha $300,000 kama M 660,000 za ki Tanzania ambapo ali Invest katika biashara mbali mbali…

Make Up

ZIJUE MASCARA NA NAMNA YA KUPAKA 

Unapochagua mascara kuna mambo muhimu ya kuzingatia kulingana na lengo lako unalotaka kutimiza. Unatakiwa kujua unataka kope zionekane ndefu( lengthenning), zionekane zimejaa/nene (thickenning), zisishikane na je ukinawa na maji mascara itoke au laa (water proof). Wengi tunanunua tu mascara kwa wamachinga nk bila kujua itafanya…

Make Up

BEAUTY CRUSH – ROSA REE 

Ni rapper wa kike kutoka the industry ambapo ndani yake kuna Aika Navy Kenzo na Nahreel, Leo Rosa Ree kawa beuty crush wetu ni kutokana na jinsi anavyo jiweka tofauti na ma rapper wengi wa kike Tanzania, Rosa Ree ana paka make up, ana vaa…

Make Up

NANI NI MAKE UP ARTIST WA SERENA WILLIAMS 

Make up artist wa Serena Williams Ana Hitaji kurudi shule kusomea jinsi ya kupaka wanja, maana ana mtenda vibaya Serena una weza kumsamehe mtu kwa nguo kuchanika au kutokea vibaya lakini sio kwa eye brows, ni sehemu ambayo ina weza kukukosesha marks zote katika muonekano…