SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Hair, Make Up

CRUSHING RUBBY MAKE UP NA NYWELE 

Ruby au Ruby na yule kama ambavyo ana julikana na wengi ni msanii wa muziki kutoka Tanzania, kilicho tufanya tumuweke leo hapa ni hizi picha zake mpya alizo share na mashabiki wake katika ukurasa wake wa Instagram. Ruby ameonekana katika muonekano mpya wa nywele ambapo…

Make Up, Urembo

MATUMIZI YA WANJA 

Historia inatuambia kuwa, kwa mara ya kwanza Wanja ulianza kutumika nchini Misri na Mesopotamia zamani ikifahamika kama Ugiriki ambapo watu wake walikua wakipakaa wanja sio tu kwa kujiremba bali pia kujikinga na jua la jangwani. lakini pia wanazuoni wanasema Wanja  ulikua ukipakwa kama kinga ya kuepukana na mabalaa (uchawi)….

Dondoo, Make Up

NJIA RAHISI ZA KUFUTA MAKE-UP 

Kupaka make-up ni jambo moja na kuzifuta ni jambo lingine, hasa kama ulipaka make-p nyingi kwa ajili ya sherehe kufuta kwake inakuaga kazi kidogo hadi wengine huamua kulala nazo bila kutoa hadi asubuhi, lakini zipo njia rahisi kabisa za kutoa make-up ASALI NA BAKING SODA…