SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

DONDOO ZA MITINDO KWA WANAUME 

SOMO: Achia kifungo chako cha mwisho cha chini (usikifunge) kwa kupata muonekano wa kawaida, usio tumia nguvu na kuonyesha kiuno chako. SOMO: shati la mistari na sneakers za rangi moja ni chaguo bora zaidi kwako kwa ajili ya matembezi ya kawaida. SOMO: Nguo eidha za…

Ana Kwa Ana, Mitindo, One on One

IJUE TWO IN ONE ACCESSORIES 

Mwezi huu AfroSwagga katika Ana Kwa Ana imefanya mohojianao na mbunifu Vyette ambaye yeye pamoja na mshirika wake Jonathan Lupilli ambaye ni mpiga picha ndio ambao wanaounda 2in1. Endelea…. Afroswagga – Two-one-accessories ni nani? Two-one-accessories – Two In One Accessories ni a handmade jewerly brand and…

Do It Yourself, Mitindo

IPE T-SHIRT YAKO MUONEKANO MPYA 

Unaweza ukawa na T-shirt ndani ambayo unaipenda lakini umesha iichoka ila huwezi kuitupa kwaio ipo tu huivai. Badilisha muonekano wake na uweze kuivaa tena kama mpya. Mahitaji T-shirt mkasi Uzi na sindano au cherehani Maelekezo Laza T-shirt yako sakafuni au sehemu ambayo itaipa uwiano mzuri…

Dondoo, Mitindo

Nini Uvae Kesho, NyamaChoma Festival 

Nyamachoma Festival ni moja kati ya sherehe zilizojizolea umaarufu mkubwa jijini Dar es salaam. Sherehe hizi uhudhuriwa na vijana wengi, ambao wanakwenda kula nyama na kufurahi pamoja na wenzao. Ikiwa imebaki siku moja tu Kufikia Sherehe hizo, ambapo kesho zinatarajiwa kufanyika, najua wengi wetu hususani…

Mitindo

JE UNAWEZA KUWA MWANAMITINDO HATA KAMA UMFUPI? 

Wengi tuna jiuliza hili swali Je naweza kuwa mwanamitindo hata kama mimi ni mfupi? Wengi wetu tunakatishwa au kakataa tamaa bila ya kusoma au kujaribu kiundani Zaidi. Jibu ni ‘NDIO’ Unaweza kuwa mwanamitindo hata kama wewe ni mfupi. Hukiachana na kuwa mwanamitindo wa kutangaza bidhaa…

Mitindo

BADDIE WINKLE VS IRIS APFEL 

Iris Apfel na Baddie Winkle wote ni wazee wanao penda mitindo ambao wamejizoelea wafuasi wengi wanao wafuata katika mitandao. Iris amezaliwa mwezi wa nane, 29, 1921 ana miaka 94 ambapo ni mfanya biashara, ni mpambaji wa nyumba na Mpenda mitindo. Amesoma sanaa katika chuo cha…