SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

ALLY KHERY,ALLY HASSAN, DAXX CRUZ au MR FRESH 

Anamajina mengi mno unaweza kumuita Ally Khery,Ally Hassan,Ally DAXX Hassan lakini wengi tunamjua kama Daxx Cruz ni mwanamitindo wa kiume kutoka Tanzania ambae ana ipeperusha bendera yetu vizuri zaidi. Dax ameanza kuonekana kwenye majukwaa muda mrefu kwa Tanzania amesha wahi kuonekana katika jukwaa la Swahili…

Mitindo

HAMASIKA NA KANYA SESSER 

Kanya Sesser ni mwanamitindo aliye zaliwa huko Thailand aliishi katika kituo cha kulelea watoto yatima mpaka pale alipo timiza miaka mitano ambapo alikuwa adopted na wazazi wa kufikia na kwenda kuishi Portland, USA. Kanya Sesser ni mwanamitindo ambaye hana miguu na kwasasa ana miaka 23,…

Dondoo

NINI UFANYE UKIENDA KWENYE MANUNUZI 

Mara nyingi ime tokea tukienda kufanya manunuzi (shopping) tunarudi na vitu tusivyo vitaka na kujutia au hata kutumia fedha nyingi kuliko tulivyo tegemea. Hii inatokana na kwamba tukiwa tunaenda shopping hatupangi ni kipi tunacho kifuata huko,hizi ni dondoo chache za vipi ufanye manunuzi yako sahihi…