SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

Copycatting Much? 

Mwaka jana mwezi wa tisa Queen Bee au kwa jina lake la kuzaliwa Beyonce alitu-bless na tour ya Otr 11 ambapo ukiachana na show zake kusifiwa na ku-trend Beyonce alianzisha trend kadhaa za mavazi ikiwepo kuzirudisha kwenye trend hizi Cartwheel hat, alizivaa mara kwa mara…

Mitindo

Top 10 Best Dressed At The Met Gala 2019 

Met Gala ni hafla inayofanyika kila mwaka, hafla hii uhusiana na harambee ambayo zinakusanywa fedha kwa ajili ya kusaidia  makumbusho ya Metropolitan Arts costume Institute huko New York. Kila mwaka kunakuwa na Theme ya mavazi, mwaka jana ilikuwa Heavenly Body na Rihanna took the best…