SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

A Tulle Moment From Tanzania Designers 

Tumekuwa tukiona Wabunifu mbalimbali kutoka Nchi za wenzetu wakiwa wanabuni haya mavazi yaliyopewa jina la Tulle, kwetu hakukuwa na designs za aina hii nyingi. Mara nyingi tulikuwa tukiziona kwa mbunifu Jacqueline Wolper lakini week hii tumeona wabunifu wengine wawili wakitoa mavazi ya aina hii. Ambao…

Dondoo, Mitindo

Jua Namna Ya Kuondoa Harufu Mbaya Ya Viatu 

Hivi Ushawahi kuwa kwenye Mkusanyiko wa watu na Mara ghafla waanza kusikia Harufu mbaya na Hapo Hapo unabaini inatoka kwenye viatu. Utajisemesha Nani huyo kuvua viatu? Huku ukibana pua. Kama hujawahi kukutwa na jambo hili huwezi kuelewa vile mhanga anavyojisikia. Baada ya kumaliza kusoma hapa hutotaka…

Mitindo

Its A Jungle Affair With Vanessa Mdee 

Vanessa Mdee isn’t here to play linapokuja kwenye swala la fashion, ni moja kati ya watu maarufu ambao wana dare sana kuwa tofauti katika swala zima la mionekano yao. Week hii tumemuona Vanessa akiwa amevalia hii Mixed Animal Prints outfit ambao alichagua kutupeleka msituni, akiwa…

Mitindo

Mc Pilipili & Mena Send Off Party Outfits 

Jana ilikuwa send off ya Emmanuel Mathias A.K.A Mc Pilipili, wengi tulikuwa tunasubiri kuona hii sherehe ya kuelekea kwenye big day ikianza kwa maana amesha ongea mengi kuhusu harusi yake na namna ambavyo anataka iwe. Wakati wengine wakiwa wanasubiri mashamla shamla sisi tulikuwa tumeweka jicho…