SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

Mc Pilipili & Mena Send Off Party Outfits 

Jana ilikuwa send off ya Emmanuel Mathias A.K.A Mc Pilipili, wengi tulikuwa tunasubiri kuona hii sherehe ya kuelekea kwenye big day ikianza kwa maana amesha ongea mengi kuhusu harusi yake na namna ambavyo anataka iwe. Wakati wengine wakiwa wanasubiri mashamla shamla sisi tulikuwa tumeweka jicho…

Mitindo

Wateja Wanachangia Kudumisha Sekta Ya Mitindo Nchini 

Imekuwa kawaida yetu kuchukua muda kutafuta nini kinakwamisha Tasnia ya mitindo Nchini na nini kifanyike ili kuondoa changamoto hizi zinazosababisha kudorora kwa sekta hii mahsusi duniani kote. Mara nyingi tumekuwa tukilalamikia stylists na wabunifu kuhusu kukosa ubunifu na upekee katika kazi zao, wabunifu wanacopy (kunakili)…

Mitindo

Fenty Clothing Line Might Put Fendi And Gucci On Pause 

Mwanadada Rihanna anasifika kwa kutafuta hela “Securing The Bag”, alianza na mziki akafanya collaboration na fashion brand mbalimbali, hatukupumua akaja na Fenty beauty na sasa ameanzisha clothing line akiwa na fashion brand ya  LVMH. Na kwa mapokeo ambayo tunayaona tunaweza kusema Rihanna anaweza kuzifanya fashion brand…