SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

Fenty Clothing Line Might Put Fendi And Gucci On Pause 

Mwanadada Rihanna anasifika kwa kutafuta hela “Securing The Bag”, alianza na mziki akafanya collaboration na fashion brand mbalimbali, hatukupumua akaja na Fenty beauty na sasa ameanzisha clothing line akiwa na fashion brand ya  LVMH. Na kwa mapokeo ambayo tunayaona tunaweza kusema Rihanna anaweza kuzifanya fashion brand…

Mitindo

Copycatting Much? 

Mwaka jana mwezi wa tisa Queen Bee au kwa jina lake la kuzaliwa Beyonce alitu-bless na tour ya Otr 11 ambapo ukiachana na show zake kusifiwa na ku-trend Beyonce alianzisha trend kadhaa za mavazi ikiwepo kuzirudisha kwenye trend hizi Cartwheel hat, alizivaa mara kwa mara…