SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Picha

Red Carpet CFDA Vogue Fashion Fund Awards 

Jana wakati watu wakiwa katika heka heka za Uchaguzi Nchini marekani baadhi ya watu wengine walikuwa katika sherehe za tuzo za CFDA Vogue Fashion Fund Awards ambazo hufanyika kila mwaka na hizi ni baadhi ya tulizo zipenda kutoka red carpet Zendaya X Solange Nicola Peltz…

I'm A Celebrity, Picha

NEWLY WEDS – MR & MRS MABESTE 

Wanasema when there’s will there’s way, YES kama una kumbukumbu Rapper kutoka Tanzania Mabeste alipata matatizo na mkewe Lisa ambapo Lisa alikuwa hospitalized kwa miezi huku Mabeste akiomba msaada ili kuweza kumsaidia kumponyesha mpenziwe ( Lisa) ambae pia ana mtoto nae mmoja, Hayo yote yame…

Picha

OSCAR DE LA RENTA BRIDAL SPRING/SUMMER 2016 

April 15 wana mitindo mbali mbali wali tembea katika jukwaa la Oscar De La Renta Boutique kuonyesha mavazi ya harusi yaliyo buniwa na Oscar mwenyewe, katika collection hii oscar ame weka style mbali mbali za magauni haya ya harusi kuna mafupi, marefu, kata mikono, nguva…

Picha

Picha: Swahili Fashion Week 2015 

Kama ulikosa fursa ya kuudhuria Swahili Fashion Week kwa mwaka huu pale Seac Cliff Hotel Jijini Dar es salaam. AfroSwagga tumekuwekea baadhi ya picha za matukio yaliyokuwa yakiendela kuanzia tarehe 4 Desemba mpaka tarehe 6 Desemba.