SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Skin Care, Urembo

Nazi Inavyoweza Kukupa Ngozi Nyororo 

Hivi unajua kuwa unaweza kuwa mrembo kwa kutumia vitu vya asili tu?. Ndio inawezekana!. Wengi wetu tumekariri kwamba, ili uwe mrembo na mwenye muonekano wa kuvutia machoni pa watu, basi ni lazima utumie vipodozi vya madukani, vyenye kemikali za sumu. Na vipodozi hivi vinauzwa kwa bei…

Skin Care, Urembo

Ngozi Yako Inaongea Isikilize 

Siyo siri kwamba chunusi zinaweza kuwa vigumu kuziondoa.  Pengine umejaribu kila Aina ya  cream, chakula na dawa ya nyumbani “home remedies” lakini jibu linaweza kuwa dhahiri kuliko unavyofikiri.  Na hapa Ndio unapokuja umuhimu wa wewe kuisikiliza ngozi yako. Lazima uelewe ni nini Ukifanya kwenye Ngozi…