SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Skin Care, Urembo

Liwa Na Faida Zake Katika Urembo 

Mmea wa liwasili yake ni nchini India na huko ndiko unapendwa na kutumika sana .Kwa hapa n Tanzania mti huu tunauita ‘Mliwa’ ambapo leo tunauangazia faida zake mbalimbali katika  tiba, una faida katika tiba mbalimbali lakini leo tunaongelea kuhusu urembo, ni faida gani mmea huu…

Skin Care, Urembo

Faida 2 Muhimu Za Zambarau Katika Ngozi 

Inawezekana ukawa unakula haya matunda lakini hujui faida zake nyingine, unakula tu kwa sababu unayapenda. Ukiachana na utamu  zambarau zina faida nyingi katika urembo lakini pia katika afya, leo tunakuletea namna ambavyo unaweza kutumia zambarau kutibu aina mbalimbali ya vitu katika ngozi. Hutibu Chunusi  …

Skin Care, Urembo

ROSE WATER NA MATUMIZI YAKE 

Rose Water ni maji yanayo tokana na kuloweka majani ya maua rose katika maji, kinacho patikana hapo hutumiwa kutengeneza Perfume, kuweka kwenye chakula na hata kutumiwa katika urembo. Leo tutaongelea zaidi kwenye urembo hutumika kama Toner Rose water inaweza kutumika kutone ngozi yako maana insaidia…

Habari, Skin Care, Urembo

Do Spa-Like Facials At Home 

Weekends wengi tunapenda kwenda kujifanyia treatment za urembo kama kuosha na kusuka nywele, kwenda spa kwa ajili ya massage na matibabu ya ngozi hasa usoni. Lakini vipi kama huna pesa au unasikia uvivu kwenda Spa siku hio? haimaanishi usifanye vyote hivi unaweza kujifanyia vyote mwenyewe…

Skin Care, Urembo

Njia 2 Za Kuimarisha (Kukaza) Ngozi 

Ngozi huanza kuanguka/kushuka au kuwa laini kutokana na sababu mbalimbali ikiwepo uzee, jua, kutumia vipodozi vyenye kemikali kwa muda mrefu au magonjwa, hakuna anependa kuwa na ngozi za aina hii kwaio ni muhimu kuchukua hatua mapema kabla hazija tufikia lakini kama umeshafikia hatua hiyo si…