SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Skin Care, Urembo

TAKASA NGOZI KWA MTINDI 

Ulisha wahi kukaa ukajiuliza mbona kuna baadhi ya watu wana ngozi nzuri laini na soft? lakini kwako ni tofauti? ukawaza labda wanatumia vitu vya bei ghali ambavyo wewe huwezi ku – afford, au umesha hangaika na ma –¬† cosmetics lakini bado ngozi yako haikubali kukaa…

Dondoo, Skin Care, Urembo

LAINISHA USO KWA NYANYA NA ASALI 

Watu wengi wanadhani kutumia vipodozi vya asili ni urembo wenye mchakato mrefu na mgumu lakini kama unaipenda ngozi yako naamini hautaona ugumu wa kuitunza kwa vipodozi vya asili.Jinsi ya kulainisha uso kwa nyanya na asali. Chukua nyanya moja kubwa iliyoiva kisha imenye na kuisaga hadi…

Skin Care, Urembo

TUMIA UKWAJU NA ASALI KUONDOA CHUNUSI 

Ukitaka kuondoa chunusi usoni na kusafisha uso usiwena madoa kwa kiasili, njia zifuatazo zaweza sana kusaidia. Tafuta ukwaju loweka katika maji ukishalainikachanganya na asali, paka usoni. Ni dawa nzuri sana na utaona ngozi yako inabadilikakwa kipindi kifupi. Kama utashindwa kupata vitu hivyo tafuta sabuni pamojana…