SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Skin Care

FAIDA 5 ZA PARACHICHI (AVOCADO) KATIKA NGOZI 

Tumezoea kupaka parachichi directly katika ngozi, lakini pia kula parachichi kuna faida nyingi katika ngozi na mwili wako, parachichi zina sifika kwa kuwa narich healthy fatty acids, vitamins na antioxidants ambazo zina weza ku improve ngozi yako kwa ndani. Hizi ndizo Faida 5 za parachichi…

Skin Care

JINSI NAZI INAVYO WEZA KUWA SCRUB 

Kabla ya kuosha uso au kuoga basi chukua kitaulo kidogo kikavu kisha miminia mafuta yako ya nazi halafu anza kusugua uso wako na shingo taratibu, unaweza pia kufanya hivi kabla ya kulala usiku. Matumizi ya mafuta ya nazi namna hii huondoa uchafu katika matundu yako…

Dondoo

LAINISHA USO KWA NYANYA NA ASALI 

Watu wengi wanadhani kutumia vipodozi vya asili ni urembo wenye mchakato mrefu na mgumu lakini kama unaipenda ngozi yako naamini hautaona ugumu wa kuitunza kwa vipodozi vya asili.Jinsi ya kulainisha uso kwa nyanya na asali. Chukua nyanya moja kubwa iliyoiva kisha imenye na kuisaga hadi…

Skin Care

TUMIA UKWAJU NA ASALI KUONDOA CHUNUSI 

Ukitaka kuondoa chunusi usoni na kusafisha uso usiwena madoa kwa kiasili, njia zifuatazo zaweza sana kusaidia. Tafuta ukwaju loweka katika maji ukishalainikachanganya na asali, paka usoni. Ni dawa nzuri sana na utaona ngozi yako inabadilikakwa kipindi kifupi. Kama utashindwa kupata vitu hivyo tafuta sabuni pamojana…

Skin Care

PAPAI NA UREMBO 

Tunda la kitropiki la papai lina vitamini C na E likiwa na siri kubwa ya urembo na hutumika kutengeneza facial za aina mbalimbali. Papai limekuwa likitumiwa kama njoia boya ya kutunza uso wako na kumfanya mtu kuwa na ngozi ya asili. Bidhaa ambazo zimekuwa zikitengenezwa…

Skin Care

CHUNUSI NA MATIBABU YAKE 

Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujit-okeza kama viuvimbe/vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso,kifuani na hata mgongoni.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta au seli za ngozi zilizokufa au wadudu yaani Bacteria. Karibu asilimia 85 ya vijana kati…

Dondoo

MANJANO NA FAIDA ZAKE KATIKA UREMBO 

Manjano ni kiungo kinacho tokana na mti uitwao curcuma longa, mti huu una patikana sana kusini mwa bara la Asia. Kiungo hiki kina tumiwa kwa namna nyingi una weza kutumia kama kiungio katika chakula lakini pia hutumika kama urembo na kina saidia sana. manjano ina…