SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo, ThrowBack

Jokate Mwegelo Fashion Evolution 

Ni mjasiriamali, Miss Tanzania 2006, Muigizaji na mwanamuziki, Anaitwa Jokate Mwegelo au unaweza kumkatisha kumuita Jojo au Kidoti kama ambavyo anajulikana na wengi, Tumeanza kumjua Jokate mwaka 2016 ambapo alishiriki katika Shindano la Miss Tanzania na kufanikiwa kushika namba 2, Kuanzia mwaka 2006 Jokate amekuwa…

Mitindo, ThrowBack

#TBT- BELLE 9’S STYLE REVOLUTION 

Ukiongelea wasanii wa kiume wenye kipaji na wanao imba mziki mzuri huwezi kuacha kumtaja Belle 9, belle amekuwa vizuri toka ana anza mpaka sasa kuanzia sumu ya penzi, shauri zao,nilipe nisepe, listen mpaka sasa burger movie selfie zote zina fanya vizuri, Lakini pia belle yupo…

Mitindo, ThrowBack

THROW BACK THURSDAY NA SARAH PARKER 

Wachache ambao wana penda series na movies watatuelewa, so tulikua hapa tukijaribu kuwaza na kuwazua nini cha kuvaa swahili fashion week,… wanapo sema sikiliza maneno na si vitendo hivi ndivyo wanavyo maanishaga, tuna weza tuka wapa ushauri mtafute nguo mapema kabla ya siku ya event…