SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Skin Care, Urembo

Ngozi Yako Inaongea Isikilize 

Siyo siri kwamba chunusi zinaweza kuwa vigumu kuziondoa.  Pengine umejaribu kila Aina ya  cream, chakula na dawa ya nyumbani “home remedies” lakini jibu linaweza kuwa dhahiri kuliko unavyofikiri.  Na hapa Ndio unapokuja umuhimu wa wewe kuisikiliza ngozi yako. Lazima uelewe ni nini Ukifanya kwenye Ngozi…

Urembo

Imperfection Is The New Perfection 

Tunadhani ni wakati wa sisi kusema “Finally we can all be human”, miaka michache nyuma ilikuwa si kawaida kuona watu maarufu au models wakiwa na makosa, yaani kila mtu alitaka kuonekana perfect katika jamii, kuanzia kichwani mpaka miguuni hakuna ambae aliyetaka kuonekana na kasoro na…

Dondoo, Urembo

Zijue Mbinu 9 Za Kuondoa Harufu Ya Kikwapa 

VIJANA wanapofikia umri wa kubalehe, moja kati ya dalili wanazokumbana nazo ni kuota nywele sehemu za siri ikiwamo kwapani. Wengi wao wamekuwa wakishindwa kujiweka katika hali ya usafi hivyo kujikuta wakitoa harufu kali ya jasho. Jambo hilo huwakwaza watu wengi na hivyo kujikuta wakijitenga /wakitengwa…

Urembo

Majani Ya Mlonge Na Msaada Wake Katika Urembo 

Majani haya yana kiasi kikubwa cha madini  sulphur na Vitamin E ambazo ni asilia Kabisa na ni muhimu Sana  katika urembo.Majani haya yana uwezo wa kupendezesha nywele zako pamoja na kuzifanya zikue vizuri zaidi, Pia yatapendezesha ngozi yako na kuiacha iking’aa pamoja kuondoa chunusi. JINSI…

Urembo

Urembo Katika Msimu Wa Ramadhani 

UREMBO KATIKA MSIMU WA RAMADHANI Watu wengi wanahisi ngozi zao zinadhoofu na kukauka katika msimu wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, lakini hii ni kwa sababu ya mabadiliko ya lishe katika mwili wako. Ni nini ufanye ili uendelee kuwa mrembo katika msimu huu: Kunywa maji mengi:…