SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Urembo

MAKE-UP INA AINISHA UZURI WA MWANAMKE 

Ime kuwa mara nyingi wanaume wame sikika wakisema “una jifanya mzuri wakati ni make-up zimekusaidia” Hii ime sababisha maswali vichwani mwetu Je ni kweli make-up ina fanya wanawake wawe wazuri? Haikua rahisi kupata jawabu kwa sababu fikra zilikua zina gongana kuna wanawake wakipaka make-up wana…

Urembo

JINSI YA KU SHAPE NYUSI BILA KUNYOA 

Ime zoeleka ukitaka kuwa na nyusi maridadi ni lazima uzichonge kwa wembe au nyuzi lakini si wengi ambao wana penda njia hizi, hasa kwa sasa ambapo watu wana penda kuwa naturally. Lakini naturally hii nayo isivuke mpaka huwezi kukaa na nyuzi hovyo hovyo kisa unapenda…

Urembo

WANAWAKE WA KISASA NA MAKE UP 

Make Up ni urembo unakuja kwa kasi sana duniani, kila mtu ana taka kujua kupaka make up, wengine wana taka kujua kwa ajili ya matumizi ya binafsi na wengine wana taka kwa ajili ya biashara. Ni kawaida kwa kila mwanamke kutaka kuonekana mrembo kuliko mwingine…

Mitindo, Urembo

WEMA AZINDUA KISS LIPSTICK 

Jana katika Birthday Party yake, Wema Sepetu alizindua Lipstic alizo lipa jina KISS, Lipstick hizi ni bidhaa zake mwenyewe Wema. huwa ina semwa tafuta katika miaka ya 20-30 ili ule matunda katika miaka yako ya 40, hiki ndicho anacho kifanya wema sasa. Katika Kurasa ya…