SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Hair

TIBA YA KUKUZA NYWELE 

VITUNGUU MAJI Unaweza kushangaa kwamba kitunguu maji kinawezaje kukuza nywele, lakini katika hiki kitunguu kuna sulfur nyingi ambazo zinasaidia kukuza collagen ambayo inafaida kwa nywele. Tengeneza Juisi ya vitunguu kisha paka kwenye shina za nywele kaa nayo kwa muda na kisha uoshe, unaweza pia ukachanganya…

Urembo

CRUSHING MAKEUP YA VJ PENNY 

Leo katika beauty crush yupo vj penny make up artist wake amempatia sana katika hii, kila kitu kipo on point kuanzaia nyusi, kope, lipstick na eye liner.   Jinsi ambavyo lipstick imekaa kwenye midomo bila kusambaa nje na  nyusi na eye liner zilivyo ishia kwa…

Afya

NINI ULE KUIPA NGOZI AFYA 

Wote tunapenda kuonekana warembo na vijana. Lakini inawezekana ukawa unajiharibu zaidi katika kujifanya uwe mrembo leo na kujiletea madhara makubwa yasiyotibika kesho. Pia, inawezekana unatumia hela nyingi na muda mwingi katika kuhakikisha ngozi yako inakuwa nyororo, nzuri, na ya kuvutia. Je, unafahamu kuwa kuna aina…

Urembo

UREMBO WA KUUPOTEZEA 2016 

2016 Unahitaji kubadilika kuna urembo mwingine umesha pitwa na wakati ni wa kuuacha tu 2015 Faux Piercings/ kidani cha pua mara ya kwanza zilivyo ingia kila mtu alikua ana zitamani hasa baada ya watu kama Rihanna kuvivaa lakini sasa zilivyo sambaa zikawa nyingi mno mpaka…

Urembo

LIPSTICK TREND 2016 

Ikiwa mwaka 2015 bold lipstick ndo zilitamba sana zikiwemo nyeusi, zambarau, nyekundu iliyo kwiva na damu ya mzee mwaka 2016 una tabiriwa kuwa wa namna yake kwa maana lipstick hizi zina semekana zina shika trend kwa mwaka huo. Ikiwa Nude na Ombe zimeanza kushika chat…

Hair

GWEN STEFANI NA MITINDO YA NYWELE ZAKE 

Gwen stefani ni mwanamuziki, mtunzi, muigizaji lakini pia ni mbunifu kutoka bara la America, tukiachana na hayo yote Gwen amekua akijulikana kutokana na mitindo yake ya nywele mbali mbali lakini 2015 imekua tofauti kidogo ni jinsi ambavyo Gwen ana paka rangi nywele zake. Zinavutia na…