Unaweza ukawa na T-shirt ndani ambayo unaipenda lakini umesha iichoka ila huwezi kuitupa kwaio ipo tu huivai. Badilisha muonekano wake na uweze kuivaa tena kama mpya.

Mahitaji

T-shirt

mkasi

Uzi na sindano au cherehani

Maelekezo

DSC_0622

Laza T-shirt yako sakafuni au sehemu ambayo itaipa uwiano mzuri isipinde

DSC_0624

Kata pande mbili za io T-shirt kama ionekanavyo kwenye picha juu kisha uikunje kwa namna hio kama una kamua nguo uliyo ifua,ukisha pata muonekano wa kipepeo, shona zile pande mbili ulizo zitataua mwanzo

DSC_0626 copyccc

utapata muonekano huo

DSC_06644