Mkufu huu utakugharimu kiasi kidogo cha pesa lakini utakupa muonekano wa kisasa, pia una weza kuifanya mingi ukauza. lakini pia unaweza kuifanya ikawa mingi rangi tofauti tofauti ya kwako mwenyewe kwa ajili ya matumizi yako ukawa na muonekano wako wa kipekee

MAHITAJI:
– mkufu
– brush ya kupakia rangi na rangi (kama huna rangi hata rangi ya kucha inafaa)
– kipande cha ngozi 1.5″ x 1.5″
– tape(kipimio) na mkasi
– sindano

diygeometricdiamond1

MAELEKEZO

1)chora mchoro wako uupendao katika kipande cha ngozi, kisha kata na mkasi kufuatisha huo mchoro hakikisha unakata katika mistari ya mchoro na usiache alama yoyote ya wino katika kipande cha Ngozi

1

2) katika kile kipande cha ngozi chora mchoro utakao kama ni ua au sura ya mtu

2

3) tumia gundi (cellotape) kuzibia sehemu za kipande chako cha ngozi

3

4) anza kupaka rangi kile kipande ambacho hujakiziba na cellotape. Kuziba baadhi ya sehemu na cellotape ina saidia kuzuia rangi kuingiliana na pia kupata mistari minyoofu ya mchoro wako.

5

5)acha rangi ikauke, Ikisha kauka ziba panye rangi na sehemu nyingine acha sehemu moja na upake yangi

6

6) rudia sehemu zote mpaka uhakikishe ua limeisha na umeridhika na muonekano wa rangi zako, Halafu toboa kitobo kidogo juu ya kingozi chako na upitishe cheni yako

7

7)muonekano wa cheni yako

8