Darling Hair

Kuna wale wenzetu ambao wana jichubua hizi sehemu huwa ngumu (viungio vya mkono, vidole na magoti)  kung’aa kwa haraka, lakini pia hata kwa wale wenye ngozi zao za asili huwa hizi sehemu zinakua nyeusi si sawa na sehemu nyingine za mwili, namna ya kung’arisha sehemu hizi bila kutumia cream za madukani,

JUISI YA LIMAO NA ASALI: changanya juisi ya limao na asali kisha paka kwenye sehemu zilizo athirika fanya hivi kila siku ndani ya wiki na utapata matokeo.

Honey-and-Lemon-Tea

JUISI YA LIMAO, GLYCERINE NA SUKARI: changanya juisi ya limao, mafuta ya maji ya glycerine na sukari kisha paka kwenye sehemu zilizo athirika na kaa nao kwa muda wa dk 15-20 kisha uoshe kwa maji masafi.

VITAMINI E NA CREAM YA MAZIWA: changanya mchanganyiko huo na kisha upake kwenye sehemu zilizo athirika sugua kwa muda wa dakika 10, fanya hivi kila siku kupata matokeo mazuri.

JIWE LA KUJISUGULIA: chukua maji masafi changanya na shampoo kisha sugua na hilo jiwe katika sehemu iliyo kuwa nyeusi kisha osha na maji masafi

b-sang_pa-xxx_grande

 

NG’ARISHA VIUNGIO VYA MIKONO, MAGOTI NA MIGUU NATURALLY

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com