Kuna ule mkoba mwenyewe una upenda ila sasa kuna sehemu ume chanika au umeisha hivi ndivyo unaweza kufanya uonekane mpya

Mahitaji:

 

020414-diy-instyle-bag-1-567_0

  • mkasi
  • gundi
  • kitambaa chaguo lako
  • lining

Maelekezo

020414-diy-instyle-bag-2-567_0

Pima kitambaa chako unataka kikae wapi na kiishie wapi.

020414-diy-instyle-bag-4-567_0

kata  kitambaa chako vizuri na ukigundishe sehemu uliyo ichagua

020414-diy-instyle-bag-3-567_0

Ukimaliza kata vizuri kitambaa chako ili kupata muonekano msafi

020414-diy-instyle-bag-5-567_0 020414-diy-instyle-bag-6-567_0 020414-diy-instyle-bag-7-567_0

Baada ya hapo pitisha lining zako za urembo sehemu ambazo una zitaka kama inavo onekana hapo juu

020414-diy-instyle-bag-8-567_0